BINTI ambaye umri wake haujatajwa, mkazi wa Mtaa wa Msakala na Dovya, jirani na Shule ya Msingi Yombo Dovya, wilayani Temeke, mkoani Dar es Salaam, anadaiwa kubakwa na kulawitiwa na vijana watano ...
Wakazi wa Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, visiwani Zanzibar—ambapo alizaliwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan—wamemiminia pongezi na sifa tele kwa uongozi wake, ...